STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 27 Aprili 2016

BREAKING NEWZZZ, HATIMAYE AZAM IMEPATA TIMU YA KUCHEZA NAYO FAINALI ASFC, REFA AFUNGIWA BAADA YA KUBORONGA MKWAKWANI



Kamati ya mashindano ya tff iliyokutana jioni ya leo chini ya mwenyekiti wake Geofrey Nyange (Kaburu) kujadili mustakabali wa ule mchezo wa hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho (ASFC) kati ya Coastal Union dhidi ya Yanga umeipa ushindi timu ya Yanga baada ya mchezo kumalizika kutokana na vurugu zilizojitokeza kwenye mchezo huo

Katika hatua nyingine kamati pia imeipiga faini ya shilingi milioni mbili timu ya Coastal baada ya mashabiki wa timu hiyo kufanya vurugu
Kamati pia baada ya kupitia ripoti ya kamisaa wa ule mchezo ikaamua kumfungia mwaka mmoja muamuzi Abdallah Kambuzi kwa kuonekana kutoumudu mchezo hali iliyopelekea amani kutoweka uwanjani na muamuzi msaidizi namba mbili Charles Simon akiondolewa kwenye orodha ya waamuzi
Kwa maana hiyo sasa ni rasmi mchezo wa fainali kwenye kombe la ASFC itazikutanisha timu kutoka Dar kati ya Yanga dhidi ya Azam ni lazima mmoja wapo ataiwakilisha nchi kwenye michuano ya kimataifa mwakani

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox