Klabu ya Chelsea wametangaza rasmi Antonio Conte kocha wa timu ya taifa ya Italia atachukua nafasi ya Hiddink baada ya kumaliza kuifundisha timu ya Taifa ya Italia katika michuano ya Euro mwezi wa sita mwaka huu 2016.
Conte,amesaini mkataba wa miaka 3 klabuni Chelsea na kupokea kitita cha £4.75million kwa mwaka baada ya makato.
Conte kocha wa Italia kuelekea Euro 2016
Conte (kulia) na Zinedine Zidane (katikati) katika mazoezi Juventus 1998



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni