STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 2 Desemba 2014

SIKWAZIKI NA UKAME WA MABAO - SUAREZ.

MSHAMBULIAJI nyota wa Barcelona Luis Suarez amesisitiza kuwa hakwaziki na ukame wa mabao alionao La Liga. Nyota huyo wa kimataifa wa Uruguay aliifungia Barcelona bao lake la kwanza katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya APOEL Nicosia lakini mpaka sasa bado hajafunga bao katika La Liga pamoja na kucheza mechi tano. Akihojiwa Suarez amesema jambo hilo halimuumizi sana kichwa kwani ushindi ndio jambo la muhimu hata kama mabao hajafunga yeye. Nyota huyo aliendelea kudai kuwa najua kuwa ameajiriwa Barcelona kufunga mabao lakini hilo halimtishi sana kwani anatoa mchango kwa njia nyingine kwasasa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox