STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 26 Machi 2015

BALE: NATAKA KUBAKI MADRID


GARETH Bale amejiandaa kukataa ofa zote za kurejea England na anataka kuendelea kuichezea Real Madrid.
Katika mkataba wake wa miaka sita kama timu inahitaji kumsajili ada ya kumuachia ni zaidi ya paundi milioni 75, lakini gharama hiyo kubwa haijazizuia klabu za Manchester United, Manchester City na Chelsea kuangalia uwezekano wa kumsajili.
Bale has been in poor form lately, resulting in criticism from the Bernabeu crowds in recent games
Nyota huyo mwenye miaka 25 aliigharimu Real Madrid paundi milioni 86 kutokea Tottenham na wakati huo alikataa kujiunga na Man United.
Manchester United, Manchester City and Chelsea are all hopeful of prising the Welshman away from Spain
Hata hivyo siku za karibuni, winga huyo wa Wales amekuwa akikosolewa kwa kiwango chake na ubinafsi anaouonesha.
Wiki hii, Bale anaichezea Wales dhidi ya Israel katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyopo katika kalenda ya FIFA.
The Welsh winger was not even given a rating by Spanish newspaper Marca after the game against Barca

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox