STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 21 Machi 2015

FIFA YATHIBITISHA FAINALI YA KOMBE LA DUNIA 2022 QATAR KUCHEZWA DESEMBA 28.

SHIRIKISHO la Soka Duniani-FIFA, limethibitisha kuwa fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2022 nchini Qatar itafanyika Desemba 18. Kikosi kazi cha FIFA kilipendekeza mwezi uliopita kuwa michuano hiyo inapaswa kuhamishwa kutoka majira ya kiangazi kama ilivyozoeleka na kuhamia majira ya baridi. Uamuzi wa kufanya fainali ya michuano kuchezwa Desemba 18, kunamaanisha kuwa michezo ya Ligi Kuu Uingereza iliyozoeleka kuchezwa Desemba 26 inaweza kuendeleakama kawaida. Katika uamuzi mwingine, FIFA imeiteua Ufaransa kuwa mwenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia la wanawake mwaka 2019.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox