STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 23 Machi 2015

Mwanamieleka Rey Msterio huenda akashtakiwa kufuatia kifo cha Hijo del Perro Aguayo aliyekufa ulingoni wakipambana



Mcheza mieleke maarufu nchini Mexico, Hijo del Perro Aguayo enzi za uhai wake
Mcheza mieleke maarufu nchini Mexico, Hijo del Perro Aguayo enzi za uhai wake
Mcheza mieleke maarufu nchini Mexico, Rey Mysterio
Mcheza mieleke maarufu nchini Mexico, Rey Mysterio
Mchezaji wa mieleke maarufu nchini Mexico, Hijo del Perro Aguayo, amefariki dunia wakati alipodondoka jukwani ikiwa ni saa chache baada ya kukimbizwa hospitali.
Mwanamieleka huyo alikuwa akipigana na mwezake Rey Mysterio, katika pambano lililofanyika ijumaa usiku na mara baada ya kudondoka alikimbizwa hospitali lakini madaktari walithibitisha kuwa tayari amefariki.
Wakati akiwa amedondoka chini wenzake hawakujua kiasi gani ameumia na kuendelea na mchezo na baada ya dakika zipatazo mbili waligundua kuwa amezidiwa hivyo kumuwahisha hospitali.
Hata hivyo uchunguzi kuhusiana na uwezekano wa kuua bila kukusudia umefunguliwa baada ya mtoto wa ncheza mieleka maarufu kufariki dunia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox