Mshambuliaji wa Brazil, Neymar ameonyesha kiwango cha juu wakati
Brazil ikilipa kisasi cha kufungwa mabao 3-0 na Ufaransa katika fainali Kombe
la Dunia mwaka 1998.
Katika mechi ya kirafiki iliyochezwa katika ardhi ya Ufaransa kwa
mara nyingine tena ikizikutanisha timu hizo, Ufaransa walitangulia mapema kwa
bao la beki Varane katika dakika ya 21.
Lakini Neymar aliyekuwa hatari kwa mabeki wa Ufaransa alianza
kuwachachfra na kusainia kupatikana kwa bao la kusawazisha katika dakika ya 40,
mfungaji akiwa Oscar.
Baadaye Brazil ilipata mabao mawili kupitia Neymar na Luiz
Gustavo.
Ufaransa:
Mandanda
6.5, Sagna 5.5, Varane 6, Sakho 6, Evra 6, Matuidi 6 (Giroud 84 mins),
Schneiderlin 6.5, Sissoko 6 (Kondogbia 74), Griezmann 6.5 (Fekir 74), Benzema
4.5, Valbuena 7 (Payet 82)
Subs not used: Costil, Jallet, Guilavogui, Zouma, Tremoulinas, Lacazette,
Koscielny, Ruffier.
Goal: Varane 21
Brazil:
Jefferson
6.5, Danilo 6.5, Miranda 6.5, Thiago Silva 7, Luis 6.5, Gustavo 6.5(Fernandinho
90), Elias 6.5 (Marcelo 92), Oscar 7 (Souza 86), Neymar 7, Willian 7.5 (Douglas
Costa 83), Firmino 6 (Adriano 88)
Subs not used: Diego Alves, Gil, Gabriel, Fabinho, Robinho, Coutinho,
Grohe.
Goals: Oscar
40, Neymar 57, Luiz Gustavo 69
Referee: Nicola Rizzoli (Italy).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni