NGULI wa soka wa Brazil,
Pele amesisitiza kuwa hata Neymar hawezi kufikia ubora wake wakati
alipokuwa akisakata kabumbu. Nguli huyo ambaye amewahi kushinda mataji
matatu ya Kombe la Dunia akiwa na Brazil na kufunga mabao zaidi ya 1,000
enzi zake, ameshwaona wachezaji kadhaa ambao walikuwa wkaipigania
kufikia rekodi yake toka astaafu. Mojawapo ya wachezaji hao ni Ronaldo
ambaye amefunga mabao 62 katika mechi za kimataifa na Romario ambaye
alikaririwa mapema mwezi huu kuwa Neymar anaweza kuipita idadi ya mabao
77 aliyofunga Pele kwa Brazil. Akiulizwa kama anadhani Neymar anaweza
kuchukua nafasi yake kama mchezaji bora kabisa kuwahi kutokea katika
soka la Brazil, Pele amesema hadhani kama hilo linawezekana. Pele
alifafanua kuwa haoni kama litawezekana kuwa na mfalme mpya au Pele mpya
kwasababu mama yake na baba yake tayari walishafunga kizazi zamani.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Alhamisi, 26 Machi 2015
PELE ATAMBA KUWA HATA NEYMAR HAWEZI KUMFIKIA.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni