STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 5 Aprili 2015

DEREVA WA BASI LA WACHEZAJI WA FENERBAHCE APIGWA RISASI

 Basi la wachezaji wa kikosi cha Fenerbahce limeshambuliwa na dereva wake kupigwa risasi.


Dereva huyo wa basi lililokuwa limebabe wachezaji na viongozi 40 alipelekwa hospitali kwa matibabu baada ya kujeruhiwa usoni.

Wachezaji hao walikuwa wanatoka kucheza katika moja ya mechi za Ligi kuu Uturuki, dereva huyo aliposhambuliwa.

Mlinzi aliyekuwa ndani ya basi hilo alilazimika kuwahi kuliendesha basi hilo hadi liliposimama.

Hata hivyo kumekuwa na utata wa risasi iliyompiga dereva huyo ni kutoka katika bunduki ya aina gani.

Gavana wa eneo la Trabzon, Abdulcelil Oz amesema dereva amepigwa na risasi lakini wanaendelea kufanya uchunguzi.







Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox