STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 5 Aprili 2015

Simba Yapatwa Na Msiba Mwingin

kiungo wa Simba SC Jonas Mkude amerejea jijini Dar es Salaam akitokea Shinyanga kwa ajili ya mazishi ya baba yake mzazi
Kiungo wa Simba SC Jonas Mkude (katikati) amerejea jijini Dar es Salaam akitokea Shinyanga kwa ajili ya mazishi ya baba yake mzazi
Kiungo mkabaji wa klabu ya Simba SC, Jonas Mkude amefiwa na baba yake mzazi mzee Gerrad Mkude aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
Juzi akiwa mjini Shinyanga ambako kikosi chake kipo huko kwa ajili ya mechi dhidi ya Kagera Sugar, Mkude alipigiwa simu kutoka nyumbani kwao Kinondoni, Dar es salaam na kupewa taarifa kuwa, baba yake amezidiwa sana na baadae akafariki dunia.
Hili ni pigo kubwa kwa Mkude kwani baba yake bado alikuwa anahitaji kula matunda ya mwanae wa kumzaa aliyejaaliwa kipaji kikubwa cha soka.
Mkali huyo wa Msimbazi tayari ameshaondoka Shinyanga na kurejea nyumani kwao Kinondoni, Dar es Salaam kwa ajili ya taratibu za mazishi ya baba yake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox