STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 13 Agosti 2015

FAHAMU TUSI LA MOURINHO ALILOMTUKANA DAKTARI WA CHELSEA....


Meneja wa Chelsea ,Jose Mourinho alimtukana tusi kubwa Daktari wa klabu hiyo, Eva Carneiro.
Video iliochiwa na Sky Sports imeonesha Mourinho alivyomchukia na kumtukana Eva kwa maneno ya kireno ‘filho da puta’ (ambayo tafsiri yake ni mtoto wa mbwa).
Chanzo cha Mourinho kumtukana  Carneiro ni kuingia uwanjani kumtibu Eden Hazard wakati wa dakika za majeruhi za mechi ya Jumamosi iliyopita dhidi ya Swansea ambayo walitoka sare ya 2-2 uwanja wa Stamford Bridge . 

Caneiro will keep her job title but will not be allowed at training sessions, matches or the Chelsea team hotel 












Sportsmail nao wanasema wachezaji wa Chelsea wameduwaa na maneno makali ambayo Mourinho anabwatukajuu yao na viongozi wengine wa timu.

Mourinho leo anakutana na vyombo vya habari kwa mara ya kwanza tangu amtukane Carneiro na kumfungia kukaa kwenye bechi katika mechi zijazo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox