STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 30 Julai 2014

BEKI SIMBA SC ATUA AFRICAN LYON KWA SH MILIONI 18

Mkurugenzi wa African Lyon ya Daraja la Kwanza, Rahim Kangenzi 'Zamunda' kulia akibadilishana mikataba na beki Hassan Isihaka baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu na kupewa donge nono la Sh. Milioni 18. Msimu uliopita alicheza kwa mkopo Lyon na sasa klabu hiyo imeamua kumchukua jumla, kufuatia kumaliza mkataba wake Simba SC

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox