STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 28 Julai 2014

ICC: DABI YA MANCHESTER KUPIGWA MIAMI, FLORIDA?


ICC-2014KLABU za Jiji la Machester, Mabingwa wa England Manchester City na Manchester United waliovuliwa Ubingwa na City, wanaongoza Makundi ya Mashindano ya International Champions Cup.
Upo uwezekano kwao kukutana kwenye Fainali ya Mashindano haya hapo Agosti 4 ikiwa wataendeleza wimbi lao la ushindina hivyo kuhamisha uhondo wa Dabi ya Manchester huko Sun Life Stadium, Miami, Florida.
Man United, ambao wako Kundi A, walianza kwa kuichapa AS Roma Bao 3-2 na Man City, walio Kundi B, kuishindilia AC Milan Bao 5-1, na matokeo hayo yamewafanya waongoze Makundi yao.
Kila Kundi lina Timu 4 na hivyo kila Timu kucheza Mechi 3 na Mechi zinazofuatia kwao ni Man United kucheza na Inter Milan kwenye Uwanja wa FedEx Field ndani ya Washington DC Jumatano Asubuhi na City kucheza na Liverpool Siku inayofuata huko Yankee Stadium, New York.
Kanuni za Mashindano haya ni tofauti kidogo kwani wakati Mshindi wa kila Mechi hupewa Pointi 3, ikitokea Timu kuwa Sare mpaka mwisho wa Dakika 90, Mikwaju ya Penati 5 hupigwa ili kupata Mshindi ambae hupewa Pointi 2 na aliefungwa Pointi 1.
International Champions Cup
MSIMAMO:
KUNDI A
NA
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
Man United
1
1
0
0
3
2
1
3
2
Inter Milan
1
1
0
0
1
1
0
2
3
Real Madrid
1
0
0
1
1
1
0
1
4
AS Roma
1
0
0
1
2
3
-1
0
KUNDI B

NA
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
Man City
1
1
0
0
5
1
4
3
2
Olympiacos
2
1
0
1
3
1
2
3
3
Liverpool
1
1
0
0
1
0
1
3
4
AC Milan
2
0
0
2
1
8
-7
0
**FAHAMU
-Mshindi hupewa Pointi 3
-Mechi ikiwa Sare mpaka mwisho wa Dakika 90, Mikwaju ya Penati 5 hupigwa ili kupata Mshindi ambae hupewa Pointi 2 na aliefungwa Pointi 1
RATIBA
**Saa zikitajwa ni za Bongo
Ijumaa Julai 25
Olympiacos CFP 3 AC Milan 0
Jumamosi Julai 26
Manchester United 3 AS Roma 2
Jumapili Julai 27
Real Madrid CF 1 Inter Milan 1 [Penati 2-3]
AC Milan 1 Manchester City 5
Jumatatu Julai 28
Liverpool 1 Olympiacos CFP 0
Jumatano Julai 30
02:00 Manchester United v Inter Milan [Washington D.C. – FEDEXFIELD]
05:15 Real Madrid CF v AS Roma [Dallas, Texas - COTTON BOWL]
Alhamisi  Julai 31
02:00 Manchester City v Liverpool New York, NY - YANKEE STADIUM
Jumamosi Agosti 2
20:00 Inter Milan v AS Roma [Philadelphia, PA - LINCOLN FINANCIAL FIELD]
22:00 Olympiacos CFP v Manchester City [Minneapolis - TCF BANK STADIUM]
23:06 Manchester United v Real Madrid CF [Michigan Stadium - ANN ARBOR]
Jumapili Agosti 3
01:30 Liverpool v AC Milan [Charlotte, NC - BANK OF AMERICA STADIUM]
FAINALI
Jumatatu Agosti 4
Mshindi Kundi A v Mshindi Kundi B
[Miami, Florida - SUN LIFE STADIUM]

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox