STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 28 Agosti 2014

OKWI: MIMI NDIYE NIMEOMBA KUJA SIMBA, NAWASHUKURU KWA KUNIPOKEA


Emmanuel Okwi amesema ameamua kuomba kuichezea Simba baada ya Yanga kumtema katika usajili wa msimu mpya.

Okwi amesema kwamba ameamua kuomba kurejea Simba akiamini anaweza kuwa na msaada.
 
“Yanga wameniacha, nikachukua uamuzi wa kurudi Simba na kuomba kuichezea nao wamenikublia.
“Najua Yanga wamenishitaki TFF au Fifa, nitaendelea kulishughulikia suala hilo wakati nikiwa naitumikia Simba.
“Nashukuru kwa kuwa wamenipokea kwa mikono miwili,” alisema Okwi akionyesha kujiamini.
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amesema wamemchukua Okwi baada ya kuandika barua kuomba arudi.
“Tumempokea baada kuipokea barua yake na kuijadili, kwa kuwa Yanga wamemuacha na hata FIfa inasisitiza wachezaji kupata nafasi ya kucheza ili kuepusha kuua vipaji vyao, tumeamua kuwa naye,” alisema Hans Poppe.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox