STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 11 Septemba 2014

HII NI REKODI MPYA, KWA MIAKA NANE HAIJATOKEA REAL MADRID

Kuondoka kwa Ángel di María aliyejiunga na manchester United kumeiwekea Real Madrid rekodi mpya.

Kwamba ina kikosi bila ya kuwa na mchezaji hata mmoja kutoka nchini Argentina.
Haijawahi kutokea toka mwaka 2006, imekuwa ni lazima iwe na mchezaji kutoka Argentina.
Kihistoria imekuwa na wachezaji imara kutoka katika nchi hiyo, angalia kama Ángel di María, Fernando Gago, Ezequiel Garay na Gonzalo Higuaín.
Tokea mwaka 1911, ilikuwa na wachezaji nyota zaidi kutoka Argentina, mfano ndugu Sotero na José Eulogio ambao wametajwa kuwa kati ya wachezaji nyota zaidi 100 wa Madrid.
Usisahau anayeaminika kuwa mchezaji bora zaidi ya Madrid, Alfredo di Stéfano, anatokea Argentina.

Madrid inaaminika imekuwa moja ya timu yenye wachezaji wenye mafanikio kutoka Argentina, lakini msimu huu kikosi hicho kitakwenda bila ya Muargentina hata mmoja.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox