STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 16 Septemba 2014

KINDA LA MANCHESTER UNITED ADNAN JANUZAJ LAPIGA 'HAT-TRICK' NA KUPASUA KICHWA CHA VAN GAAL

Red Devils starlet Adnan Januzaj hit a hat-trick for Manchester United on Monday night
Kinda wa mashetani wekundu, Adnan Januzaj alipiga 'hat-trick', jana usiku 

ADNAN Januzaj ameanza kumkuna kocha Louis van Gaal ili amujumuishe katika kikosi kitakachoikabili Leicester City wikiendi hii baada ya kuifungia mabao matatu 'hat-trick' Manchester United ikishinda 3-0 dhidi ya Sunderland katika michuano ya vijana chini ya miaka 21 (U 21).
Januzaj alifunga magoli hayo mbele ya Van Gaal aliyeambatana na mke wake kipenzi.
Mwishoni mwa wili iliyopita,nyota huyo kinda raia wa Ubelgiji alicheza dakika nane katika ushindi wa 4-0 dhidi ya QPR.
Januzaj atakabiliwa na changamoto ya namba Old Trafford msimu huu kufuatia kutua kwa Di Maria, Ander Herrera na Radamel Falcao - lakini akicheza mbele ya Van Gaal jana, alionesha kipaji cha hali ya juu.
Adnan Januzaj makes it 4-0 by scoring past Sunderland goalkeeperĀ Maksymilian Stryjek
Adnan Januzaj akifunga goli na kuufanya ubao usomeke 4-0 , kipa wa Sunderland, Maksymilian Stryjek alishindwa kabisa kumzuia kinda huyu mwenye kiu kubwa ya mafanikio.
Anderson congratulates Adnan Januzaj after the Belgium international completes the scoring
Anderson akimpongeza Adnan Januzaj baada ya kufunga goli safi 
Louis van Gaal and his wife Truus watched Manchester United's game against Sunderland at Old Trafford
Louis van Gaal na mke wake Truus waliitazama mechi kati ya Manchester United dhidi ya Sunderland iliyopigwa uwanja wa Old Trafford
Louis van Gaal's assistant managersĀ Albert Stuivenberg and Ryan Giggs watched the game along with first team fitness coach Tony Strudwick and former Manchester United striker Michael Owen
Makocha wasaidizi wa Man United, Stuivenberg na Ryan Giggs nao walikuwepo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox