STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 27 Septemba 2014

MESSI AFIKISHA MABAO 401 BARCA IKIUA 6-0 LA LIGA, NEYMAR APIGA HAT TRICK YA KWANZA CAMP NOU


MSHAMBULIAJI Leonel Messi amefikisha mabao 401 leo Barcelona ikishinda 6-0 dhidi ya Granada katika La Liga usiku huu Uwanja Camp Nou.
Lakini shujaa wa mchezo alikuwa Mbrazil, Neymar aliyefunga mabao matatu peke yake, hiyo ikiwa hat trick yake ya kwanza tangu ametua Camp Nou.
Messi kwa kufunga mara mbili leo, sasa ana mabao 401 aliyoifungia Barca na nchi yake, Argentina katika mechi 524 jumla alizocheza akiwa ana umri wa miaka 27 tu. Bao lingine la Barca limefungwa na beki Ivan Rakitic.
Ushindi huo unakuja wakati kikosi cha Luis Enrique kinaelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Jumanne mjini Paris dhidi ya PSG.
Neymar na Messi wakipongezana kwa kazi nzuri leo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox