Mabingwa wapya wa England, Chelsea, Leo wamezunguka Mitaa ya London ya Magharibi wakiwa juu ya Basi la Ghorofa la wazi wakiwa na Kombe lao la Ubingwa wa Ligi Kuu England pamoja na Vikombe vingine Vitatu ambavyo Klabu hiyo ilitwaa Msimu huu.
Chelsea wametwaa Ubingwa huu wa England kwa mara ya kwanza baada ya Miaka Mitano.
Baada ya Jana kukabidhiwa Kombe la Ubingwa na kufanya sherehe Usiku kucha Leo wamezungukana Mitaa ya London huku Washabiki wakisimama kando kando na kuwashangilia.
Juu ya Basi hilo la Ghorofa la wazi walikuwemo Wachezaji wa Timu ya Kwanza ya Chelsea wakiwa na Kombe la Ligi Kuu England na lile la Capital One Cup pamoja na wa Timu ya Vijana ambao nao walikuwa na Kombe la Vijana la FA na lile la Vijana la Ligi ya UEFA.
Didier Drogba na Fabrigas wakipeta na Mwali wao mpya
Diego Costa na Fabrigas
Drogba na raha zake na Mwali mkononi!
Drogba akiwaonesha Mashabiki Kombe lao wakati wa matembezi hayo leo hii jumatatu!
Taswira kamili
Kwenye mitaa ya London
Kepteni john terry
Meneja Jose nae aliwapungia mkono Mashabiki
kwenye Mitaa

Juu ya Basi hilo la Ghorofa la wazi walikuwemo Wachezaji wa Timu ya Kwanza ya Chelsea wakiwa na Kombe la Ligi Kuu England na lile la Capital One Cup pamoja na wa Timu ya Vijana ambao nao walikuwa na Kombe la Vijana la FA na lile la Vijana la Ligi ya UEFA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni