Radamel Falcao amepiga bao pekee lililoiwezesha kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Costa Rica.
Mechi hiyo ilikuwa muhimu kwa kuwa Colombia walitaka ushindi kujiandaa na kucheza Copa America.
Falcao amekuwa hafanyi vizuri akiwa na Manchester United na Chelsea tayari imeonyesha nia ya kutaka kumsajili. Yeye pia ameonyesha yuko bomba ndiyo maana anatakiwa.
DAILY MAIL
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni