STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 7 Agosti 2015

BAADA YA KUONGEZA MKATABA HIKI NDICHO ALICHO KISEMA MOURINHO


Jose Mourinho amesaini mkataba mpya wa miaka minne katika klabu yake ya Chelsea. 


Kocha huyo raia wa Ureno sasa anaondoka na pauni milioni 30 kutokana na mkataba huo mpya.
'Kama klabu inafuraha, nami nina furaha. Nadhani kuongeza mkataba mpya ni kitu cha kawaida kwangu". Amesema Mourinho.

Mourinho ameingoza Chelsea kubeba makombe mawili ya Capital 

One na Premier League.

Mreno huyo mwenye miaka 52, hakufanya vizuri kwa maana ya
kupata ushindi katika mechi zake za majaribio kujiandaa na msimu mpya lakini amesisitiza watafanya vizuri.
Chelsea itaanza msimu wa 2015-16 kwa kucheza na Swansea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox