STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 7 Agosti 2015

HISTORIA MECHI ZA UFUNGUZI LIGI KUU ENGLAND HII HAPA..

Ligi kuu England msimu wa 2015/2016 inaanza leo na timu zote 20 zinakabiliwa na mechi 38.

Mabingwa watetezi, Chelsea wanafungua dimba na Swansea City.
Hata hivyo mtandao wa bwin umeleta takwimu za timu za England zinazoenesha matokeo ya mechi za ufunguzi.

Historia inaonesha kwamba Chelsea ndio klabu yenye rekodi nzuri ya kufanya vyema kwenye mechi za ufunguzi.

Katika mechi 23 za ufunguzi wa EPL walizocheza, Chelsea wameshinda michezo 15, sare tano na kupoteza tatu, huku wakifunga magoli 48.

Tazama picha chini;
The Blues have won 15, drawn five and lost three of their opening day Premier League fixtures

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox