STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 5 Agosti 2015

JUVENTUS YANASA BEKI LA ATLETICO.

KLABU ya Juventus imekubali dili la kumsajili beki Guiherme Siqueira kutoka klabu ya Atletico Madrid. 

Beki huyo wa kimataifa wa Brazil, bado ana mkataba wa miaka mitatu na Atletico lakini ofisa mkuu wa Juventus Giuseppe Marotta na mkurugenzi wa michezo Fabio Paratici tayari wameshafikia makubaliano na klabu hiyo. 

Siqueira anatarajiwa kujiunga na mabingwa hao wa Serie A kwa mkopo wa msimu mzima lakini wanaweza kumchukua moja kwa moja mwishoni mwa msimu ujao kwa kitita cha euro milioni 10. 

Kilichobakia sasa ni kwa Juventus kuafikiana makubaliano binsfi na mchezaji mwenyewe ambaye anadhaniwa kuwa atahitaji kulipwa kitita cha euro milioni mbili kwa mwaka.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox