STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 3 Agosti 2015

WENGER AANZA KUTAMBA BAADA YA KUIFUNGA CHELSEA.

MENEJA wa Arsenal, Arsene Wenger anaamini wachezaji wake wamefanikiwa kuvuka kikwazo kikubwa cha kiakili kwa kuifunga Chelsea katika mchezo wa Ngao ya Hisani jana. 

Arsenal walikuwa hawajawahi kuifunga Chelsea chini ya Jose Mourinho katika mechi 13 walizokutakana kabla ya mchezo wa jana. 

Lakini bao la Alex Oxlade-Chamberlain lilitosha kuipa ushindi Arsenal wa bao 1-0 dhidi ya mabingwa hao wa Ligi Kuu katika mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Wembley. 

Akihojiwa Wenger amesema ilikuwa muhimu kwa kikosi chake kukiondoa kikwazo hicho mbele yao hivyo ana imani ari ya ushindi itakuwa imeongezeka kuelekea katika msimu mpya.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox