STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 13 Oktoba 2015

CRISTIANO RONALDO ATWAA KIATU CHA DHAHABU NA KUWEKA REKODI..............



Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno na klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ameingia tena katika vichwa vya habari baada ya kutwaa tuzo nyingine ya ufungaji bora. 

Cristiano Ronaldo ambaye September 30 aliweka rekodi ya kuwa mfungaji bora wa muda wote wa klabu ya Real Madrid kwa kufunga jumla ya goli 324 na kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na Raul Gonzalez.

2D5E96FB00000578-0-image-a-40_1444741292286

October 13 Cristiano Ronaldo alipokea kiatu cha dhahabu baada ya kuibuka mfungaji bora wa Ulaya kwa kufunga magoli mengi katika mechi zinazohushisha mechi za ndani ya nchi husika kwa kufunga jumla ya goli 48 katika mechi 35. 

Ronaldo amechukua kiatu cha dhahabu cha tatu akiwa na Real Madrid baada ya mara ya kwanza kutwaa tuzo hiyo akiwa Man United msimu wa 2007/2008.

2D5F31A500000578-3270764-image-a-87_1444745041945

Kwa ujumla Ronaldo anaweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kutwaa tuzo hiyo mara nne, huenda ukawa unajiuliaza namna au mfumo unaotumika kutoa tuzo hiyo, tuzo hii uhusisha wachezaji wanaotokea katika Ligi kubwa kama Ligi Kuu Uingereza au Hispania hata kama watafunga magoli machache kuliko wachezaji wanaotoka Ligi dhaifu wanaweza kutwaa tuzo hiyo.

2D5EAEB500000578-0-image-a-35_1444741243390
2D5F432100000578-3270764-image-a-68_1444744302882

Waliowahi kutwaa tuzo hiyo
2
Waliokuwa wanawania kwa msimu wa 2014/2015

1

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox