STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 23 Oktoba 2015

MESSI AELEZEA UADUI WAO NA CRISTIANO RONALDO...........

Messi vs Ronaldo 1
Mshambuliaji Leonel Messi ameshindwa kukanusha kuihama klabu hiyo siku moja huku pia akisisitiza hana uadui na Cristiano Ronaldo wa Madrid.

Messi ambaye alihusishwa na kuhamia Chelsea msimu uliopita kwa kile kilichotajwa kutokua na maelewano mazuri na kocha Luis Enrique, lakini baadaye alitulia na kufunga magoli 58 huku pia akiisaidia Barcelona kutwaa makombe yote matatu iliyoshirikimsimu uliopita.

Alipoulizwa kuhusu siku moja kucheza ligi nyingine, Messi anasema hataki kufikiria mbali zaidi, kwani kwasasa yuko Barcelona na ndicho anachokiwaza.

Kuhusu kama anashindana na Ronaldo, Messi anasema yeye hana uadui na Cristiano na anaamini Cristiano aliyefunga magoli 61 na sasa ndio kinara wa mabao katika historia ya Madrid hana uadui na hashindani nae.

Messi anasisitiza kuwa hawezi kufanya mashindano na mtu mwingine na badala yake anajituma kusaidia kuzipa ushindi timu anazozichezea.

Akiongea kuhusu majeruhi na lini atarejea, Messi anasema hawezi kukadiria ila kikubwa anamsikiliza daktari wake kuona ni lini atakua tayari kurudi uwanjani baada ya kuumia na kutakiwa kuwa nje ya uwanja kwa majuma 7-8.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox