Brazil kilichoshinda kombe la dunia la mwaka wa 1966
Picha za kipekee za Pele na kikosi cha Brazil kilichoshinda kombe la dunia la mwaka wa 1966 zimetolewa kwa mara ya kwanza.
Hoteli hiyo ya Lymm ndio iliyokuwa makao ya kikosi hicho wakati wa mchuano huo yapata miaka 50 iliyopita.
Moja wa wachezaji nyota katika enzi hizo Pele na Garrincha wanaonekana wakijivinjari.
Meneja wa sasa wa hoteli hii ya Lymm, Jamie McDonald, anasema: "Babu yangu hakuisha kuzungumzia uwezo wa gwiji Pele.
''Alinieleza kuwa wakati huo wachezaji walikuwa wanyenyekevu mno ,hata wengine waliomba wenyeji baiskeli ilikupasha misuli moto''
Glenda Bowers, alikuwa na miaka 15 wakati huo.
"mimi na mwenzangu tulikuwa wachanga kwa hivyo tuliruhusiwa kukutana na wachezaji hao''
"alimpatia mhudumu wa ndani aliyekuwa akifua nguo zao ikiwemo suruali fulana na hata sare moja.''
Wakati huo Pele alikuwa ameapa kutocheza tena katika kombe la dunia akidai wachezaji weupe walimpiga mateke mengi mno katika uwanja wa Goodison Park.
Uwanja huo wa Goodison Parkndio unaotumika na klabu inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza ya Everton.
Onyesho hilo lenye nembo ya ''BrazilLymm66'', litaendelea kwa siku nne.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni