STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 12 Aprili 2016

AC Milan yamtimua kocha wao Sinisa Mihajlovic


image
Kocha aliyetimuliwa, Sinisa Mihajlovic.

AC Milan inayoshiriki Ligi Kuu nchini Italia, Serie A imemtimua kocha wake Sinisa Mihajlovic na nafasi yake kuchukuliwa na kocha wa timu ya vijana Cristian Brocchi atakaye kinoa kikosi hicho mpaka mwisho wa msimu.

Maamuzi hayo yamefanywa Jumapili usiku na kutarajiwa kutokea tangu siku ya Jumatatu wakati mmiliki wa klabu hiyo Silvio Berlusconi alipokutana na Brocchi na msaidizi wa rais Adriano Galliano kwa majadiliano ya takribani saa tatu.

Brocchi anakuwa kocha wa tano kukinoa kikosi cha AC Milan ndani ya miaka miwili.
Mihajlovic alijiunga na Milan kutokea Sampdoria mwezi June.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox