STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 13 Juni 2016

MAKUNDI LIGI DARAJA LA KWANZAYAPANGWA

Bodi ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza makundi matatu ya timu zitakazoshiriki Ligi Daraja la Kwanzaya StarTimes msimu wa 2016/2017.

Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Agosti, mwaka huu mara baada ya kukamilisha mchakato wa usajili unaoanza Juni 15, 2016.

Makundi hayo yenye timu nane (8) kwa kila moja, yamegawanywa kwa alama ’A’, ‘B’ na ‘C’.

Kundi A lina timu za:

1        Abajalo ya Dar es Salaam
2        African Sports ya Tanga
3        Ashanti United  ya Dar es Salaam
4        Kiluvya United ya Pwani
5        Friends Rangers ya Dar es Salaam                6        Lipuli  ya Iringa               

7        Mshikamano FC ya Dar es Salaam         8        Polisi Dar ya Dar es Salaam

Kundi B

1        JKT Mlale ya Ruvuma
2        Coastal Union ya Tanga
3        Kimondo FC ya Mbeya
4        Kinondoni Municipal Council ya Dar es Salaam

5        Kurugenzi     ya Iringa
6        Mbeya Warriors ya Mbeya
7        Njombe Mji  ya Njombe
8        Polisi Morogoro      ya Morogoro

Kundi C
1        Alliance Schools ya          Mwanza
2        Mgambo Shooting   ya Tanga
3        Mvuvumwa FC ya    Kigoma
4        Panone FC ya Kilimanjaro
5        Polisi Dodoma        ya Dodoma
6        Polisi Mara   ya Mara
7        Rhino Rangers        ya Tabora
8         Singida United ya Singida

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox