STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 22 Juni 2016

NI FAINALI YA KISASI ARGENTINA DHIDI YA CHILE COPA AMERICA CENTANARIO..........


Baada ya mchezo wa nusu fainali ya pili ya Kombe la Copa America kati ya Chile dhidi ya Colombia kusimama kwa zaidi ya saa moja, hatimae uliendelea na kupatikana kwa mshindi atakayecheza mchezo wa fainali dhidi ya Argentina Jumapili ya June 26 2016 katika uwanja wa MetLife.
Colombia licha ya mchezo kusimama na wao kupata nafasi ya kupumzika vya kutosha na kushauriana, walishindwa kuchomoa goli 2-0 zilizokuwa zimefungwa kipindi cha kwanza dakika ya 7 na Charles Aranguiz na Jose Fuenzalida dakika ya 11.
Argentina atacheza na Chile katika fainali lakini nafasi kubwa ya kutwaa Ubingwa wa Copa America anapewa Argentina kutokana na rekodi yao ndani ya miaka 106  Argentina kapoteza mechi 7 peke dhidi ya Chile, wakati Argentina amewahi kumfunga Chile kwa zaidi ya mara 40 huku mwaka uliopita Chile akimfunga Argentina katika mashindano haya na kuchukua ubingwa katika fainali.
Magoli yalioipeleka Chile fainali ya Copa America 2016



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox