STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 25 Agosti 2016

HIZI HAPA STORI KUBWA TATU LEO AUGUST 26 MICHEZONI IKIWEMO REKODI YA SAMATTA..................


Tokeo la picha la THREE FOOTBALL PITCH

Usiku wa August 25 nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta ambaye anaichezea KRC Genk ya Ubelgiji, jina  lake lilirudi tena kwenye headlines kufuatia ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Lokomotiva Zagreb walioupata wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani wa Luminas Arena.


Katika ushindi huo wa goli 2-0 walioupata KRC Genk katika michuano ya kuwania kucheza hatua ya Makundi ya Europa League unawawezesha kufuzu hatua hiyo moja kwa moja kutokana na mchezo wao wa kwanza dhidi ya Lokomotiva walitoka sare ya goli 2-2.

850x520-jpg_1472151328

Samatta anaiwezesha Genk  kufuzu hatua ya makundi kwa mafanikio kutokana na kufunga goli la kwanza dakika ya 2 na baadae mjamaica Leon Bailey akafunga goli la pili, hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Samatta kucheza hatua ya makundi ya michuano ya Europa League.
  
                                      STORI YA PILI;


Nahodha wa timu ya taifa ya Ureno anayeichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo usiku wa August 25 aliingia katika historia mpya ya soka lake, hiyo inatokana na kushinda tuzo ya mchezaji bora wa ulaya wa mwaka kwa kuwashinda wapinzani wake Antoine Griezmann wa Atletico Madridi na timu ya taifa ya Ufaransa, pamoja na Gareth Bale.

3794A4FB00000578-3758562-image-a-9_1472143267089
Kutoka kushoto ni Bale, Ronaldo na Griezmann

Ronaldo anafanikiwa kushinda tuzo hiyo baada ya kumaliza msimu wa 2015/2016 kwa mafanikio makubwa ikiwemo kuiwezesha Real Madrid kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa barani Ulaya na kufikisha rekodi ya kutwaa Kombe hilo mara tatu katika historia yake ya soka.

3795021500000578-3758562-image-a-16_1472147165310

Hata hivyo msimu wa 2015/2016 licha ya kuiwezesha Ureno kutwaa taji la Euro 2016 kwa mara ya kwanza katika historia, Ronaldo akiwa na Real Madrid msimu wa 2015/2016 alikuwa kafunga jumla ya goli 51 katika mechi zake 48 alizocheza pamoja na kutoa assist 15, lakini akiwa na rekodi ya kufunga magoli 16 katika mechi 12 za UEFA Champions league.

3794A15300000578-3758562-image-a-5_1472141905887
37949DC600000578-3758562-Ronaldo_signs_autographs_for_fans_before-a-7_1472142976665
37948A0600000578-3758562-image-a-10_1472143292511

                                   STORI YA TATU;

Ratiba kamaili ya hatua ya makundi ya Uefa champions League imetoka. 
 
Timu za Uingereza zinaonekana kuwa na ahueni kwenye hatua hii kutokana na kutokuwa kwenye makundi ya vifo huku Leicester wakiwa kwenye kundi ambalo unaweza kuliita jepesi zaidi.
 
Pep Guardiola's turn on the carousel as Manchester City head to Barcelona
Kwa ratiba hii unatakiwa kuwa na matarajio ya kushuhudia moja ya hatua 16 bora nzuri na yenye ushindani zaidi kwa uwezekano wa vilabu vikubwa kubaki kwenye hatua ya makundi ni mdogo sana.


GROUP A 

Paris Saint-Germain 
Arsenal 
Basle 
Ludogorets 

GROUP B 

Benfica 
Napoli 
Dynamo Kyiv 
Besiktas 

Group A fixtures
Group A fixtures

GROUP C 

Barcelona 
Manchester City 
Borussia Monchengladbach 
Celtic 

GROUP D 

Bayern Munich 
Atletico Madrid 
PSV Eindhoven 
Rostov 

Group C fixtures
Group C fixtures



GROUP E 

CSKA Moscow 
Bayer Leverkusen 
Tottenham 
Monaco 

GROUP F 

Real Madrid 
Borussia Dortmund 
Sporting Lisbon 
Legia Warsaw 


Group E fixtures
Group E fixtures

GROUP G 

Leicester
Porto 
Club Bruges 
Copenhagen  

GROUP H 

Juventus 
Sevilla 
Lyon 
Dinamo Zagreb

Group G fixtures
Group G fixtures

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox