STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 29 Julai 2014

BABA WA TEVEZ ALIYETEKWA, AACHIWA BAADA YA WATEKAJI KUJAZWA MANOTI


TEVEZ AKIWA NA SEGUNDO SIKU CHACHE HUKO NYUMA...

Baba wa mshambuliaji wa Juventus, Carlos Tevez aliyekuwa ametekwa amechiwa baada ya watekaji kulipwa kiasi kikubwa cha fedha.

Ingawa imekuwa ni siri kiasi gani wamelipwa, lakini magazeti ya Argentina na vyombo vingine vya habari vimeeleza, familia ya Tevez imelazimika kutoa mamilioni ya fedha kumuokoa Segundo Tevez.
Baba huyo alitekwa baada ya gari alilokuwa akisafiria kuzuiwa na watekaji hao katika eneo la Morón, Magharibi mwa jiji la Buenos Aires.
Mwanasheria wa familia ya Tevez, Gustavo Galass, amesema Segundo Tévez alitekwa na wahusika wakapiga simu kwenye familia hiyo na kudai fedha huku wakitoa saa nane tu kabla ya kuchukua uhai wake

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox