STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 27 Julai 2014

KLABU AFRIKA: ZAMALEK, TP MAZEMBE SARE, KIDIABA AOKOA PENATI!

CAF_CHAMPIONZ_LIGI_2013_LOGOZamalek ya Misri Jana walitoka Sare ya 0-0 na TP Mazembe ya Congo DR katika Mechi ya Kundi A la Klabu Barani Afrika, CAF CHAMPIONZ LIGI iliyochezwa huko Misri.
Kwenye Mechi hiyo Ahmed Ali alikosa Penati  katika Dakika ya 18 iliyookolewa na Kipa Robert Kidiaba.
TP Mazembe, ambayo Mastraika wao mahiri, Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu, ni Watanzania, kwenye Kundi A wamefungana kwa Pointi 7 pamoja na wenzao wa Congo DR, AS Vita, na kufuatiwa na Al Hilal ya Sudan na Zamalek, zote zikiwa na Pointi 4, huku Mechi zikiwa zimebaki 2.
Awali Jumamosii AS Vita ya Congo DR iliifunga Al Hilal ya Sudan, walioongoza kwa Bao la Dakika ya 18 la Mohamed Bashir, Bao 2-1 kwa Bao za Lusadisu Basisila, Dakika ya 81, na Penati ya Dakika ya 90 ya Agiti Etikiama.
Katika Mechi zijazo, AS Vita itakuwa huko Misri kucheza na Zamalek na TP Mazembe wako Nyumbani Lubumbashi kucheza na Al Hilal ya Sudan.
CAF CHAMPIONZ LIGI
MSIMAMO:
KUNDI A
NA
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
AS Vita
4
2
1
1
5
4
1
7
2
TP Mazembe
4
2
1
1
2
1
1
7
3
Al Hilal
4
1
1
2
4
5
-1
4
4
Zamalek
4
1
1
2
3
4
-1
4
RATIBA:

Julai 27
AS Vita Club 2 Al Hilal 1
Zamalek 0 TP Mazembe 0
Agosti 9
TP Mazembe v Al Hilal
Zamalek v AS Vita
Agosti 23
Al Hilal v Zamalek
AS Vita v TP Mazembe
MSIMAMO:
KUNDI B
NA
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
ES de Setif
4
2
2
0
6
3
3
8
2
CS Sfaxien
4
2
1
1
6
4
2
7
3
Al Ahly
4
1
1
2
5
8
-3
4
4
Espérance
4
1
0
3
5
7
-2
3
RATIBA:
Julai 26
Al Ahli РBenghazi 0 Entente Sportive de S̩tif 2
Julai 27
Club Sportif Sfaxien 1 Espérance Sportive de Tunis 0
Agosti 9
Al Ahli – Benghazi v Club Sportif Sfaxien
Entente Sportive de Sétif v Espérance Sportive de Tunis
Agosti 23
Club Sportif Sfaxien v Entente Sportive de Sétif
Esp̩rance Sportive de Tunis v Al Ahli РBenghazi
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
CAF KOMBE LA SHIRIKISHO
RATIBA:
Julai 26
Al Ahly v Sewe Sport
Coton Sport FC v ASEC Mimosas Abidjan
Nkana FC Kitwe v E.S. Sahel
AC Leopards de Dolisie v AS Real de Bamako
Agosti 9
Coton Sport FC v AC Leopards de Dolisie
ASEC Mimosas Abidjan v AS Real de Bamako
E.S. Sahel v Sewe Sport
Nkana FC Kitwe v Al Ahly
Agosti 23
Al Ahly v E.S. Sahel
Sewe Sport v Nkana FC Kitwe
AS Real de Bamako v Coton Sport FC
AC Leopards de Dolisie v ASEC Mimosas Abidjan
CAF KOMBE LA SHIRIKISHO
MSIMAMO:
KUNDI A
NA
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
Coton Sports
4
3
1
0
7
4
3
10
2
AC Leopards
4
1
2
1
3
3
0
5
3
AS Real Bamako
4
1
1
2
5
6
-1
4
4
ASEC Mimosas
4
0
2
2
4
6
-2
2
KUNDI B
NA
TIMU
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
Al Ahly
4
2
2
0
5
2
3
8
2
ES Sahel
4
1
2
1
9
9
0
5
3
Nkana FC
4
1
1
2
8
10
-2
4
4
Sewe Sport
4
0
3
1
3
4
-1
3

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox