STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 14 Agosti 2014

Afande Sele afiwa na mama watoto wake Asha Mohamed Shengo (MAMA TUNDA)

Msanii wa Hiphop Tanzania Afande Sele Afiwa na mama mtoto wake, usiku wa kuamkia leo August 14 2014, Afande Sele aliweka ujumbe kuhusu taarifa ya msiba huo  “Ndugu zangu!! Nimefiwa na Mzazi mwenzangu (Asha) /mama wa wanangu (mama Tunda/Mama Sanaa) ..ni pigo kubwa kwangu na wanangu. SISI NI WAJA WA MWENYEZI MUNGU NA HAKIKA KWAKE TUTAREJEA; MUNGU AMPUMZISHE PEMA.”
Ujumbe huu uliambatana na Hii picha ya familia yake.
Kabla ya kifo chake Afande alifarakana na mke wake na walikuwa wakiishi sehemu tofauti, wana watoto wawili  Tunda ambaye yuko kidato cha pili na Sana mwenye miaka 2.
Msiba upo Morogoro Mtaa wa Amani kwa Wazazi Wa Asha mohamed Shengo. Asha amezaliwa May 21 1981, Aliishi na Afande kwa miaka 16,Afande Sele amesema Asha aliugua malaria siku moja kabla ya kifo chake.
sele 2 sele

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox