STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 26 Agosti 2014

BAADA YA MABAO 106, LAMPARD AMFUATA GERRARD, ATANGAZA KUSTAAFU ENGLAND



Baada ya mechi 106 na kufunga mabao 29, kiungo Frank Lampard ametangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya England.

Lampard ambaye sasa anakipiga na Manchester City, ametangaza kustaafu huku akisema ni wakati mwafaka.
Lampard ametangaza siku chache baada ya Steven Gerrard naye kutangaza kustaafu kuichezea timu yake hiyo ya taifa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox