STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 26 Agosti 2014

BREAKING NEWSS.!! DI MARIA AFAULU VIPIMO VYA AFYA, AENDA KUSAINI MAKAO MAKUU........




 Di Maria alitoa mchango mkubwa kwa Real Madrid kutwaa ubingwa wa Ulaya msimu uliopita
KIUNGO Angel di Maria amefaulu vipimo vya afya kuelekea kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 59.7 Manchester United kutoka Real Madrid.
Dili hilo la kuvunja rekodi ya usajili Uingereza, litamfanya Di Maria awe analipwa Pauni 200,000 kwa wiki katika Mkataba wa miaka mitano atakaosaini. 
Sasa mchezaji huyo anaelekea makao makuu ya klabu kwa ajili ya kusaini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox