STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 31 Agosti 2014

BILA RONALDO, REAL MADRID YAPIGWA 4-2 LA LIGA,

Sergio Ramos akiugulia maumivu katika mchezo wa jana

REAL Mdrid jana imefumuliwa mabao 4-2 na Real Sociedad katika mchezo wa La LIga Uwanja wa San Sebastian.
Kocha wa Real, Carlo Ancelotti alimkosa Cristiano Ronaldo, ambaye alimpumzisha hivyo kuwategemea Gareth Bale, James Rodriguez na wenzake
.
Sergio Ramos aliifungia Real bao la kwanza dakika ya sita, kabla ya Bale kufunga la pili dakika ya 11, lakini wenyeji wakatoka nyuma na kushinda 4-2 wakimtungua Iker Casillas.
Mabao ya Inigo Martinez dakika ya 36, Carlos Vela aliyetokea benchi dakika ya 76 na David Zurutuza mawili dakika za 41 na 65 yalitosha kuirdisha Real mikono mitupu mjini Madrid.
Kikosi cha Real Madrid kilikuwa; Casillas, Carvajal/Arbeloa dk77, Pepe, Ramos, Marcelo, Modric/Khedira dk74, Kroos, Isco, Bale, Benzema na Rodriguez.
Real Sociedad: Zubikarai, Zaldua, Elustondo, I Martinez, De La Bella, Bergara, Granero, Prieto/Gonzalez dk83, Zurutuza, Castro/Canales dk59 na Agirretxe/Vela dk59.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox