STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 26 Agosti 2014

ETO'O AMALIZANA NA EVERTON, ASAINI KUICHEZEA KWA MIAKA MIWILI


Rasmi Samuel Eto’o Fils ,33, amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Everton.

Awali alikuwa ‘akinukia’ Liverpool ambayo baadaye iliamua kumtwaa Mario Balotelli na mkongwe huyo raia wa Cameroon, ametua kwa majirani zao Everton.
Msimu uliopita,  Eto’o alikipiga Chelsea ambako hata hivyo alionekana kutoiva vizuri na Jose Mourinho.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox