STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 28 Agosti 2014

MSHAMBULIAJI WA CHELSEA "COSTA" NJE YA DIMBA KWA WIKI SITA, TORRES ACHUKUA NAFASI YAKE.


Big blow? Chelsea are sweating over the fitness of  Diego Costa who's suffered a minor muscular injury
Diego Costs ameanza vyema na klabu ya Chelsea kiasi cha kuwa gumza katika ligi kuu ya Uingereza msimu huu.


Mshambuliajiwa Chelsea Diego Costa, atakuwa nje ya dimba kwa takribani wiki 6 kufuatia kuumia nyama za paja katika mazoezi ya timu hiyo jana jioni wakati wakijiandaa na mechi ya ligi kuu ya England dhidi ya Everton, jumamosi hii katika dimba la Stamford brigde.
Diego Costa aliyejiungana Chelsea julai mwaka huu akitokea mabingwa wa Hispania Athletico Madrid amekwishaifungia chelsea mabao mawili katika mechi mbili  za ligi kuu alizocheza msimu huu dhidi ya Burnley na Leichester city,

Kuumiakwa Diego Costa kutamfanya Fernando Torres arudi kwenye kikosi cha kwanza cha Chelsea kuunganana Didier Drogba, hii ni mara baada ya kutojumuishwa katika mechi mbili  za mwanzo wamsimu huu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox