STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 28 Agosti 2014

NYOTA YA ROONEY YAZIDI KUNG'ARA, AWA NAHODHA WA TIMU YAKE YA TAIFA YA UINGEREZA.

Wayne Rooney has been given the England armband
Wayne Mark Rooney.
Mshambuliajiwa Manchester utd na timu ya taifaya Uingereza, Wayne Rooney ametangazwa rasmi kuwa nahodha wa timu ya taifaya Uingereza kuchukua mikoba iliyo wachwa na Steven Gerrard aliye staafu kuchezea timu hiyo yataifa Julai mwaka huu mara baada ya kumalizika kwa michuano ya kombe la dunia nchini Brazil
.

Rooney mwenye umri wa miaka 28 alitangazwa pia kuwa nahodha wa klabu yake ya Manchester utd mapema mwezi huu, amefanikiwa kuichezea timu yake ya taifa ya England mechi 95 huku akiifungia magoli 40. Uteuzi huo metangazwa na meneja wa timu hiyo Roy Hodgoson.

England inajiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Norway September 3 mwaka huu katika uwanja waWembley kablaya mechiya kufuzu kwa michuano ya mataifa ya ulaya dhidi ya Switzerland September 8 mwakahuu, michuano hiyo ya Ulaya yatafanyika mwaka 2016.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox