STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 22 Agosti 2014

WAKATI WAKONGWE WAO WAPO BONGO, REAL MADRID NA MASTAA KIBAO WAPOTEANA KWA ATLETICO MADRID KWENYE SPANISH SUPER CUP JANA USIKU...... ANGALIA MIPICHA KIBAO WALIVYOTAABIKA.

Clinical: Atletico Madrid's Mario Mandzukic makes it 1-0 against Real Madrid in the second leg match of the Spanish Super Cup
  Mshambuliaji wa Atletico Madrid, Mario Mandzukic akifunga bao la kuongoza dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa marudiano wa 'Spanish Super Cup'

REAL Madrid wameanza vibaya msimu mpya baada ya jana kupigwa bao 1-0 na mahasimu wao Atletico Madrid katika uwanja wa Vicente Calderon na kupoteza kombe la 'Spanish Super Cup'.
Mechi ya kwanza Santiago Bernabeu timu hizo zilitoka sare ya 1-1, hivyo Atletico kushinda kwa wastani wa mabao 2-1.
Bao pekee la ushindi wa Atletico lilitiwa kambani na mshambuliaji mpya ambaye unaweza kusema amerithi mikoba ya Diego Costa, Mario Mandzukic.
Msimu uliopita, kikosi cha Diego Simeone kiliwazidi kete Real Madrid na kutwaa kombe la ligi kuu maarufu kama La Liga, sasa wamewashinda katika kombe la 'Spanish Super Cup'
Real Madrid wametumia fedha nyingi kununua wachezaji nyota katika kombe la dunia lililopita, lakini jambo la kuwaunganisha na kuwafanya wacheze kitimu ni muhimu zaidi.
Carlo Ancelotti ana kazi kubwa zaidi kwasababu jana walijikuta wakiwa nyuma kwa bao 1-0 katika sekunde ya 80 (sawa na dakika 2) na walishindwa kutafuta upenyo wa kusawazisha.

Kikosi cha Atletico Madrid: Moya; Juanfran, Godín, Miranda, Siqueira; Tiago, Gabi; Koke, Raul García, Griezmann (Jiminez 73); Mandzukic
Wachezaji wa akiba: Oblak, Suarez, Rodriguez, Ansaldi, Niguez, Gimenez
Kikosi cha Real Madrid: Casillas; Carvajal, Varane, Ramos, Coentrao (Marcelo 70); Modric, Kroos (Ronaldo 45), Xabi Alonso; James (Isco 65), Benzema, Bale
Wachezaji wa akiba: Navas, Pepe, Arbeloa, Illarra
Goal hero: Atletico striker Mario Mandzukic lifts the Super Cup trophy after beating Real Madrid on Friday
Shujaa wa goli: Mshambuliaji wa Atletico, Mario Mandzukic akinyanyua kombe la  Super Cup baada ya kuifunga Real Madrid jana
Glory boys: Atletico have started the season as they ended the last, by eclipsing their illustrious neighbours and picking up a trophy
Mabingwa: Atletico wameanza msimu kwa kuwazidi kete mahasimu wao na kutwaaa kombe
Delight: Atletico's Mario Mandzukic (centre) celebrates his second-minute strike against  Real Madrid at Vicente Calderon on Friday
Shangwe: Nyota wa Atletico, Mario Mandzukic (katikati) akishangalia bao lake la sekunde ya pili dhidi ya Real Madrid katika dimba la  Vicente Calderon 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox