STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 9 Septemba 2014

BILA DIEGO COSTA HISPANIA YAUA 5-1, KINDA JIPYA PACO ALCACER LAIBUA GUMZO!

Dream start: David Silva jumps on to Paco Alcacer's shoulders to celebrate his goal that put Spain 2-0 up against Macedonia in Valencia
  David Silva akimrukia Paco Alcacer wakati akishangilia bao lililowafanya Hispania waongoza 2-0 dhidi ya  Macedonia mjini Valencia

HISPANIA wamepata makali tena baada ya kuifunga 5-1 Macedonia na sasa watazua mjadala kama kweli wanamhitaji mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa.
Majeruhi ya nyama za paja aliyonayo Costa yalimaanisha mshambuliaji kinda wa Valencia Paco Alcacer  aanze katika mchezo wake wa kwanza akiwa na miaka 21.
Nyota huyo anayechipukia alifanikiwa kufunga bao lake la kwanza katika dakika ya 17.
Cesc Fabregas alipiga krosi nzuri iliyomaliziwa na kinda huyo mpya anayevalia jezi namba 9.
Breaking away: Cesc Fabregas escapes a challenge from Macedonian midfielder Stefan Spirovski as Spain exerted their authority in the midfield areas
Tulia kijana!: Cesc Fabregas akimtoka kiungo wa Macedonian, Stefan Spirovski 
Easy does it: Sergio Ramos is congratulated after his cheeky chipped penalty put Spain ahead inside the Ciutat de Valencia stadium in Group C
Kazi rahisi tu: Sergio Ramos akipongezwa baada ya kufunga goli kwa mkwaju wa penati  katika mchezo wao wa kundi C uwanja wa Ciutat de Valencia 
Muted celebration: Agim Ibraimi jogs back towards the half-way line after his penalty reduced the deficit to just one goal in the first half
Anashangilia kimya kimya: Agim Ibraimi alifunga bao la kufutia machozi.

Kikosi cha Spain: Casillas; Alba, Abidol, Ramos (Bartra 68) , Juanfran; Busquets, Silva, Koke (Munir 77), Fabregas, Pedro, Alcacer (Isco 57).
Wafungaji wa magoli: Ramos 16 (pen), Alcacer 17, Busquets 45+3, Silva 50, Pedro 90+1.
Kadi ya njano: Koke, Fabregas. 

Kikosi cha Macedonia: Pacovski, Cuculi, Sikov, Mosjsov, Alioski (Demiri 46), Trajkovski, Spirovski (Radeski 64), Ristovski, Abdurahimi (Velkoski 74), Jahovic, Ibraimi.
Mfungaji wa goli: Ibraimi 28 (pen). 
Kadi ya njano: Ristovski, Abdurahimi. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox