STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 15 Septemba 2014

HULL CITY VS WEST HAM UNITED. LEO

LIGI kuu nchini Uingereza inaendelea tena leo ambapo kutakuwa na mchezo mmoja utakaozikutanisha timu za Hull City na West Ham United katika Uwanja wa Kingston Communication-KC. 
 
Hull wataingia katika mchezo huo bila ya kuwa na mshambuliaji wao tegemeo Abel Mathias Hernandez Platero. Nyota huyo wa kimataifa wa Uruguay mwenye umri wa miaka 24 alisajiliwa na Hull katika siku ya mwisho ya usajili akitokea klabu ya Palermo lakini mashabiki watalazimika kusubiri kutokana na mchezaji huyo kuchelewa kupata kibali cha kufanya kazi Uingereza. Hata hivyo kocha wa Hull Steve Bruce atapata ahueni baada ya kuwepo mshambuliaji mwingine wa kimataifa wa Uruguay Gaston Ezequiel Ramirez Pereyra.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox