STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 4 Septemba 2014

KIONGERA BADO HAJUI ATAVAA JEZI NAMBA NGAPI MGONGONI.


Mshambuliaji Paul Kiongera hajui achukue jezi gani kwa kuwa haitaki ile namba 5 aliyokuwa akivaa Donald Musoti ambaye ameachwa na Simba.

  Kiongera amesisitiza alikuwa akitaka kupea jezi namba 29 ambayo anaitumia
Miraji Adam.
“Bado naona namba 29 ni nzuri kwangu, Simba natakiwa kutumia namba 12, lakini sioni kama inanifurahisha.
“Nitazungumza nao zaidi na kujua kama inawezekana kupata nyingine, au nitachukua itakayopatikana,” alisema.
Kiongera tayari ameungana na Simba kwenye kambi ya Zanzibar na kuanza mazoezi.

Mshambuliaji huyo wa zamani wa KCB pia anakipiga katika kikosi cha timu ya taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox