STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 15 Septemba 2014

KUMBE JANA SIMON MSUVA HAKUWEMO KWENYE ORODHA YA YANGA LAKINI AKAINGIA NA KUITEKETEZA AZAM FC. ANGALIA WALIKUWA KWENYE ORODHA

Orodha ya wachezaji waliotakiwa kushiriki mchezo wa Ngao ya Jamii jana baina ya Azam FC na Yanga SC iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), jina la winga wa Yanga SC Simon Msuva halikuwamo, lakini mchezaji huyo alitokea benchi na kuseti bao moja na kufunga moja katika ushindi wa 3-0 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Simon Msuva akiwa amebebwa na Mbuyu Twite kulia baada ya kufunga

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox