STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 11 Septemba 2014

LIVERPOOL WALIVUNA PAUNDI 50,000 KWA MAUZO YA JEZI SIKU WALIYOMSAJILI MARIO BALOTELLI

Excitement: Liverpool sold £50,000 worth of Mario Balotelli shirts on the day they signed the striker
Liverpool walipata paundi 50,000 kwa mauzo ya jezi za Mario Balotelli siku aliyosaini mkaba klabuni hapo.

LIVERPOOL waliuza jezi kibao za Mario Balotelli siku aliyojiunga na klabu hiyo majira ya kiangazi mwaka huu na kuvuna paundi 50,000.
Nyota huyo mtukutu alijiunga na Liverpool kutokea klabu ya AC Milan kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 16 mwezi wa nane mwaka huu.
Akizungumza katika Soccerex Conference mjini Manchester, Mkurugenzi mkuu wa Liverpool, Ian Ayre alisema: "Liverpool ilikuwa na mafanikio na fursa za kujiendeleza miaka ya nyuma. Nadhani haitatokea tena".
From the off: Balotelli (left) started for Liverpool in their 3-0 win over Tottenham at White Hart Lane
 Balotelli (kushoto) alianza katika kikosi cha Liverpool kilichoshinda mabao 3-0 dhidi ya  Tottenham katika dimba la White Hart Lane

"Kuwa na watu sahihi na wanaoaminika ni faida. Angalia mtu kama Balotelli, tulipata paundi 50,000 kutokana na mauzo ya jezi zake siku tuliyomsajili"

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox