STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 1 Septemba 2014

VAN GAAL AHAMIA KWENYE UKUTA, AMNASA BEKI BORA WA UHOLANZI KUTOKA AJAX


 Unaweza kudhani Louis van Gaal amelala na anasajili washambuliaji tu, la! Wakati dirisha la usajili linakwenda ukingoni kufungwa, Manchester United imemnasa beki kisiki wa Ajax, Daley Blind.

Blind anayeweza kucheza kama beki wa kushoto, beki wa kati au kiungo mkabaji ‘ameikost’ Man United pauni milioni 14.

Mkali huyo ambaye ni mwanasoka bora wa Uholanzi msimu uliopita akiwa na Ajax, pia alikuwa kwenye kikosi cha Uholanzi kilichoshika nafasi ya tatu kwenye Kombe la Dunia, kocha akiwa van Gaal.
Ilikuwa inaonekana wazi kwamba Man United ina tatizo kubwa kwenye ulinzi na sasa kocha huyo atakuwa amelipatia ufumbuzi.

-
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox