STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 9 Septemba 2014

VAN PERSIE AITAKA WORLD CUP YA 2018, ASISITIZA ATACHEZA HADI NA MIAKA 40


Mshambuliaji Robin van Persie amesema anataka kuichezea Uholanzi katika michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika nchini Russia mwaka 2018.

Wakati huo van Persie atakuwa na miaka 35, lakini amesisitiza anataka kuendelea kucheza hadi atakapofikisha miaka 40.
Van Persie ambaye sasa ana miaka 31, anaamini atacheza soka hadi akiwa na miaka 40.

Mholanzi huyo alikuwa kati ya wachezaji waliofanya vizuri kwenye Kombe la Dunia mwaka huu nchini Brazil, akifunga moja ya bao bora la michuano hiyo na jingine lililoisaidia Uholanzi kushika nafasi ya tatu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox