STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 26 Oktoba 2014

BAADA YA MWENENDO MBOVU WA TIMU YA SIMBA.........AMRI KIEMBA, KISIGA&CHANONGO WAONDOLEWA KAMBINI, WARUDISHWA DAR


Amri Kiemba, Shabani Kisiga na Haruna Chanongo wameamriwa kuondoka kwenye kambi ya na kurejea jijini Dar es Salaam.

Wachezaji hao watatu wanatuhumiwa kwa utovu na taarifa zinaeleza kuwa asubuhi wataondoka kurejea Dar es Salaam kwa mabasi.
Uamuzi huo umefikiwa kwa pamoja na wajumbe wa kamati ya utendaji ya Simba wanaowatuhumu kwa utovu wa nidhamu.
Baada ya hapo, wametakiwa kurejea Dar es Salaam na Ijumaa ikiwa ni siku moja kabla ya Simba kuivaa Mtibwa Sugar mjini Mororogo, wenye watawekwa kiti moto.
Wachezaji hao watawekwa kitimoto na kamati ya utendaji ya Simba kuhojiwa kuhusiana na masuala ambayo yameelezwa ni ya utovu wa nidhamu.
Viongozi wa Simba wamekuwa wagumu kulieleza hilo, lakini taarifa zinasema iwapo kutabainika kuna tatizo, basi wachezaji hao wataondolewa kabisa katika kikosi cha Simba.
Simba imetoka sare tano katika mechi zake tano, nne ikiwa imecheza nyumbani hali inayosababisha presha kubwa Msimbazi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox