STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 18 Oktoba 2014

CAVAN APEWA KADI NYEKUNDU KWA USHANGILIAGI WAKE WA KI ARSENAL ARSENAL....

MSHAMBULIAJI Edinson Cavani jana alikuwa miongoni mwa wachezaji watatu walioonyeshwa kadi nyekundu wakati Paris St Germain ikiitandika RC Lens mabao 3-1 katika mchezo wa Ligue 1 Uwanja wa Stade de France.
Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Ufaransa alipewa kadi hiyo na refa Nicolas Rainville, baada ya kushangilia bao la mwisho la timu yake kwa ishara ya kupiga bunduki, staili maarufu kwa klabu ya Arsenal ya England. 
Rais wa PSG, Nasser Al-Khelaifi ameponda maamuzi hayo ya utata akisema kwamba kama adhabu zitatolewa kwa ushangiliaji wa aina hiyo, ni mbaya kwa soka ya Ufaransa. Mabao ya PSG yalifungwa na Cabaye dakika ya 28, Maxwell dakika ya 33 na Cavani dakika ya 55, wakati Lens pia ilipoteza wachezaji wawili waliotelewa kwa kadi nyekundu, Gbamin na Le Moigne, huku bao lao la kufutia machozi likifungwa ma Coulibaly dakika ya 10.
Hiruhusiwi Ufaransa; Edinson Cavani akishangilia kwa staili ya mtutu wa bunduki kabla ya kutolewa kwa kadi nyekundu
Paris Saint Germain forward Edinson Cavani cannot believe getting sent off during the clash with Lens
Mshambuliaji wa Paris Saint Germain, Edinson Cavani akiwa hamming macho yake wakati analimwa kadi nyekundu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox