STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 23 Julai 2015

RASMI VIDAL NI MCHEZAJI WA BAVARIAN

Mkurugenzi Mkuu wa Bayern Munich, Karl-Heinz Rummenigge amethibitisha kumsajili rasmi Arturo Vidal.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Rummenigge amesema:
“Ninaweza kuthibitisha kwamba kimsingi tumefanikiwa kufikia muafaka kati yetu na Juventus pamoja na Vidal. Kilichobaki ni kupima afya na kusaini mkataba. Tunategemea mambo yataenda vizuri na haraka ili ajiunge na mazoezi ya klabu wiki ijayo”.
Vidal ameisaidia Juventus kucheza hadi fainali ya UEFA na pia timu yake ya taifa kuchukua kombe la Copa America.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox